Jinsi ya kutumia line zote kwenye modem isiyo fanyinyiwa Un-lock

Habari yako msomaji wangu tuendelee kuhabarishana na kujuzana kuhusu haya mautundu na maujanja huku kwenye ulimwengu wa technology leo tuseme ku un-lock modem zetu leo ni mwisho kabisaaa sababu tunayo njia itakayotufanya tutumie line ya voda kwenye modem ya tigo au line yeyote kwenye modem yeyote bila hata kuifanyia un-lock fuata maelekezo haya utapata faida ya somo langu hili

hatua za
kufuata

  • unachotakiwa ni kuwa na modem yeyote na line ya mtandao wowote unaotumika kwenye nchi uliyopo


  • weka modem yako kwenye mashine yako

  • funga software ya modem yako

  • fungua program yako ya nokia pc

  • kisha bofya sehemu iliyo andikwa "creat internet connection" itakuletea ujumbe huu "no device connected"

  • bonyeza "sparner like icon" itakuonyesha modem yako

  • bofya tena kwenye icon ili uweze kuset (kupanga) APN za internet kama unavyopanga kwenye simu yako

  • bofya conect

  • itaunganisha na kukuonyesha kasi ya internet yako
Mpaka hapo endelea kuenjoy kwa kutumia modem yako bila kuiflash kama hujaelewa sehemu yeyote weka coment yako hapo chini ili niendelee kukusaidia

Comments